Tuesday 26 October 2010

Wanamipango watakukumbuka daima

Balozi C. Mutalemwa akiangalia zawadi kutoka kwa wafanyakazi wa Tume ya Mipango katika ghafla ya kumuaga.  Balozi amestaafu kazi rasmi na amekuwa mjengoni miaka mingi sana. Wengi watamkumbuka kwa Utendaji wake kazi mahiri sana.  Julieth A.K.A Miss mipango aliwakilisha Picha hiyo kwa niaba ya wadau.

Tuesday 19 October 2010

Mama Maro aagwa Tume ya Mipango

Mkuu wa klasta ya Uzalishaji Bw. Maduka akitoa hotuba ya kumuaga mama Maro ambaye amekuwa Katibu mpya wa Tume ya Maadili ya Uongozi.


Hongera sana mama Maro! Tunakutakia kila la kheri huko uendako na mafanikio mema kwenye kazi majukumu yako mapya.  Hayo ndio maneno ya Bw. Maduka wakati wa sherehe za kumuaga aliyekuwa DAP Tume ya Mipango.



Ahsanteni sana sana  sana nakosa hata la kusema maana tumeishi vizuri sana sana n.k.... Ndio maneno ya shukrani kutoka kwa Mama Laura Maro aliyekuwa DAP Mipango.



Monday 18 October 2010

Mama mjengoni aagwa

Wa ukweli utazani kapiga glass ya Dubai, akiwa makini kusikiliza kinachoendelea katika sherehe hiyo ya kumuaga Mama Maro (DAP) wa Tume ya Mipango aliyeteuliwa kuwa katibu wa Tume ya Maadili ya Uongozi. Pembeni ni  Mdau Thomas aka Dr.

Monday 11 October 2010

New Suzuki Swift In Town!!!

oya cheki kifaa kipya changu hicho... 
kitu black metallic kama kawaida yangu...